Mfumo wa Usimamizi fedha wa Duka la Simu,Vifaa vya Simu Na Uwakala
Mfumo wa kidigitali wa kusimamia fedha za duka la simu, vifaa vya simu na huduma za uwakala. Unarahisisha ufuatiliaji wa mauzo, stock, miamala ya uwakala, float, cash, matumizi, faida na ripoti za biashara kwa usahihi.
